Public awareness campaign

TUMIA VIZURI FURSA YA KUCHUNGUZA AFYA YA MACHO YAKO NA HUSUSAN SHINIKIZO LA NDANI YA JICHO (PRESHA YA MACHO) KATIKA MAADHIMISHO YA MWAKA HUU YA WIKI YA GLAUKOMA DUNIANI, 11-18 MARCH 2018.

USISITE, FIKA KWA MTAALAMU WA MACHO ALIYE KARIBU NAWE KWA UCHUNGUZI WA SHINIKIZO LA NDANI YA JICHO

SHINIKIZO LA NDANI YA JICHO NI UGONJWA UNAOWEZA KUMUATHIRI MTU YOYOTE BILA YA KUJALI HALI YAKE YA KIUCHUMI

NDUGU WA DAMU WA MGONJWA MWENYE SHINIKIZO LA NDANI YA JICHO WANASHAURIWA KUFANYA UCHUNGUZI WA UGONJWA HUU MARA WAFIKIAPO UMRI WA MIAKA 25, AU HATA KABLA YA HAPO KAMA WATAONA DALILI ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA UONI WAO

NEW VISION SPECIALIST EYE CLINIC INAUNGANA NA WADAU WOTE KATIKA MAPAMBANO YA KUZUIA UPOFU ULETWAO NA SHINIKIZO LA NDANI YA JICHO


Organized by

NEW VISION SPECIALIST EYE CLINIC - DAR ES SALAAM, TANZANIA

Contact: Ms Fadhila M- Clinic in-charge
Contact Email: nvmsasani@gmail.com
www.newvisioneyeclinic.co.tz


Category: Public educational

When?

07/03/2018 - 21/03/2018
7:30 am - 9:00 am
iCal
Map Unavailable

By continuing to use the site, you agree to the use of cookies. more information

The cookie settings on this website are set to "allow cookies" to give you the best browsing experience possible. If you continue to use this website without changing your cookie settings or you click "Accept" below then you are consenting to this.

Close